NASIKIA SAUTI YA MAMA – Tawasifu ya Prof. Ken Walibora

Baada ya tamthilia yake ya pili [MBAYA WETU] kuingia madukani, Prof. Ken Walibora ‘kaibua kitabu kinachoeleza safari ya maisha yake ilovyouwa na inavyozidi kuwa kila jua linapochomoza.

Uketo wa Lugha

“Nasikia Sauti ya Mama” ina uketo wa lugha ya kiswahili inayodhihirisha ukwasi al’onao profesa Ken na mno, weledi wake wa kuyaeleza mengi kwa njia ya kusisimua hivyo kumnata msomaji.

………

Heko kwa wanalonghorn Publishers kwa kujitoma katika hili la tawasifu: NASIKIA SAUTI YA MAMA (Ken Walibora) na “MBALI NA NYUMBANI (Adam Shafi) ni tuzo bora kwetu sote!

NASIKIA SAUTI YA MAMA - Tawasifu ya Prof. Ken Walibora

NASIKIA SAUTI YA MAMA – Tawasifu ya Prof. Ken Walibora

Continue reading

Maisha Kitendawili – John Habwe.

Riwaya hii ya kusisimua inatuingiza katika bahari tesi ambamo asiyesimama imara huzama ji! Unapoisoma unachukuliwa na wimbi la vitushi vya hadithi iliyotambwa kwa hadithi ya kipekee.

Jomo Kenyatta Foundation.
John Habwe.

Maisha Kitendawili - John Habwe.

Maisha Kitendawili – John Habwe.

Continue reading

Tamthilia ya PANGO na Kyalo W. Wamitila

Tamthilia ya PANGO na Kyalo W. Wamitila

Tamthilia ya PANGO na Kyalo W. Wamitila

Tamthilia hii ni mchango mwingine mwafaka katika medani ya fasihi hasa uga wa drama. Kwa mara nyingine tena, Wamitila amedhihirisha ukereketwa wake katika kuikuza na kuitilia mbolea fasihi ya Kiswahili hapa Afrika Mashariki.

Pango ni tamthilia inayotufunulia na kujadili utata wa kisiasa, uchumi , uongozi na migongano ya wimbi la ukale na la usasa. Ni kichokozi na kichocheo cha fikra kwa wahakiki na wanafunzi vyuoni na katika shule za sekondari. Mwandishi ni mwelendi wa lugha na kunga za fani ya tamthilia. Continue reading

Riwaya ya Kidagaa Kimemwozea na Ken Walibora

Kidagaa Kimemwozea

Riwaya ya Kidagaa Kimemwozea na Ken Walibora

Riwaya ya Kidagaa Kimemwozea

”. . . kilikuwa kitabu chenye jalada jeusi iliyorembwa kwa picha ya mwanamwali mmoja mzuri aliyekuwa akidondoka machozi.. . riwaya hii ni ya aina yake,inathibitisha kwa usanii wa kupigiwa mfano jinsi ndoto ya uhuru barani Afrika imegeuka kuwa jinamizi.jinamizi inayowafanya wazalendo kulia, ‘kidagaa kimetuozea‘kwa kutamaushwa na usaliti wa viongozi wa baada ya uhuru. . . “

hapa twafahamu kuwa kidagaa kilichooza kiliwaozea wananchi wanyonge haswa,kwa kupitia wahusika kama vile AMANI,IMANI,UHURU WEYE DJ NK….

The Story

The story is told using a journey motif of two characters, Imani and Amani. The two leave their homes and set out for Sokomoko town to look for jobs so as to earn a decent living.

However, during their journey, they come across River Kiberenge whose water is avoided by the natives of that region like a plague because they associate it with death. Amani and Imani defy all the odds and decide to partake of the water.

River Kiberenge provides the author with another kernel to continue narrating the story. Using this kernel, the reader learns that it is only those who drink from the river that are able to pursue the liberation struggle.

This comes to pass because, once in Sokomoko Imani and Amani get menial jobs where they work for two brothers – Nasaba Bora and Majisifu who are both oppressors. Continue reading