Tamthilia ya PANGO na Kyalo W. Wamitila

Tamthilia ya PANGO na Kyalo W. Wamitila

Tamthilia ya PANGO na Kyalo W. Wamitila

Tamthilia hii ni mchango mwingine mwafaka katika medani ya fasihi hasa uga wa drama. Kwa mara nyingine tena, Wamitila amedhihirisha ukereketwa wake katika kuikuza na kuitilia mbolea fasihi ya Kiswahili hapa Afrika Mashariki.

Pango ni tamthilia inayotufunulia na kujadili utata wa kisiasa, uchumi , uongozi na migongano ya wimbi la ukale na la usasa. Ni kichokozi na kichocheo cha fikra kwa wahakiki na wanafunzi vyuoni na katika shule za sekondari. Mwandishi ni mwelendi wa lugha na kunga za fani ya tamthilia.

K. W. Wamitila

K. W. Wamitila, mwandishi wa tamthilia hii, ni Mhadhiri Mkuu wa Somo la Fasihi na Nadhari katika Chuo Kikuu cha Nairobi. Hii ni tamthilia yake ya pili kuchapiswa baada ya Wingu la Kupita. Dkt. Wamitila ameandika riwaya za Nguvu ya Sala na Bina-Adamu! Na kuuhariri mkusanyik wa hadithi fupi, Mayai Waziri wa Maradhi na Hadithi Nyingine. Baadhi ya vitabu vyake vya kitaaluma ni Kamusi ya Fasihi: Istilahi na Nadharia, Kichocheo cha Fasihi, Kichocheo cha Fasihi: Simulizi na Andishi na English-Kiswahili Assorted Dictionary (na F. M. Kyallo), vilivyochapishwa na Focus Publishers. Ana vitabu vingine kadha vitakavyochapishwa karibuni.

ISBN: 9966-882-88-2
Hatimiliki: Focus Publishers

One thought on “Tamthilia ya PANGO na Kyalo W. Wamitila

  1. Pingback: Free Piano

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s