Homa ya Nyumbani na Hadithi Nyingine : Profesa Ken Walibora na Said A Mohamed.

Kazi mpya..kutoka jiko la Phoenix Publishers… Hadithi 15, waandishi mbalimbali kutoka kote Afrika Mashariki, mkusanyiko huu wa hadithi fupi umehaririwa na Profesa Ken Walibora na Said A Mohamed. Waandishi ni pamoja na Doreen Baingana (Uganda), Patience Onyut (Uganda), Mohammed Ghassani (Pemba), Prof. Ken Walibora, Prof. Said A Mohamed, Prof Farouk Topan, Magayu Magayu na wengineo. Pata nakalayo!

Nukuu: Phoenix Publishers Ltd.

Homa ya Nyumbani na Hadithi Nyingine : Profesa Ken Walibora na Said A Mohamed.

Homa ya Nyumbani na Hadithi Nyingine : Profesa Ken Walibora na Said A Mohamed.

Continue reading

Dear friend… this is for you!

Dear friend… this is for you!

Dear friend… this is for you!

What really happened to the days when friendship was real and true? When friends once cared about one’s ongoing academically, morally, socially, physically… lly? The list is always endless. Is it me who changed? I have always asked myself and if my change was so radical and spontaneous, then why wasn’t I corrected? Why do we have to let this change drive a whole consequence to a wacky end?

Spare me the crap! If it is for the so called ‘relations’ the last time I checked you read a book of that caliber — self-confidence — but seems your style has changed from ‘Think Big’ to ‘300 Things a Girl Should Know About Boys.’ Continue reading

Tamthilia ya ‘AMEZIDI’ na Said A. Mohamed

Tamthilia ya 'AMEZIDI' na Said A. Mohamed

Tamthilia ya ‘AMEZIDI’ na Said A. Mohamed

Ame na Zidi wanajikuta katika umaskini mkubwa katika bahari iliyohaa mali. Katika hali hii ya uhitaji, wanatambua kuwa hawana jingine la kufanya ila kuomba msaada ili wayatosheleze mahitaji yao. Msaada unapokuja, unaleta unaleta madhara mengi zaidi.

Huu ni mchezo mawazoni unaotazama matatizo ya kijamii na ya kiuchumi katika nchi nyingi za kiafrika za hivi leo.

Mwandishi alizaliwa Unguja (Zanzibar) mwaka wa 1947. Alielimishwa huko huko Unguja na baadaye akajiunga na chuo kikuu cha Dar-es- Salaam, na kisha chuo kikuu cha Leipzig, Ujerumani. Amefundisha katika shule za upili na vyuo mbalimbali. Kabla ya ku7hamia Ujerumani, alikuwa Profesa katika Chuo kikuu cha masomo ya kigeni cha Osaka, Ujapani. Continue reading

Protected: All About Wallah Bin Wallah – The Author of ‘Kiswahili Mufti’ Series

This content is password protected. To view it please enter your password below:

Riwaya ya Kidagaa Kimemwozea na Ken Walibora

Kidagaa Kimemwozea

Riwaya ya Kidagaa Kimemwozea na Ken Walibora

Riwaya ya Kidagaa Kimemwozea

”. . . kilikuwa kitabu chenye jalada jeusi iliyorembwa kwa picha ya mwanamwali mmoja mzuri aliyekuwa akidondoka machozi.. . riwaya hii ni ya aina yake,inathibitisha kwa usanii wa kupigiwa mfano jinsi ndoto ya uhuru barani Afrika imegeuka kuwa jinamizi.jinamizi inayowafanya wazalendo kulia, ‘kidagaa kimetuozea‘kwa kutamaushwa na usaliti wa viongozi wa baada ya uhuru. . . “

hapa twafahamu kuwa kidagaa kilichooza kiliwaozea wananchi wanyonge haswa,kwa kupitia wahusika kama vile AMANI,IMANI,UHURU WEYE DJ NK….

The Story

The story is told using a journey motif of two characters, Imani and Amani. The two leave their homes and set out for Sokomoko town to look for jobs so as to earn a decent living.

However, during their journey, they come across River Kiberenge whose water is avoided by the natives of that region like a plague because they associate it with death. Amani and Imani defy all the odds and decide to partake of the water.

River Kiberenge provides the author with another kernel to continue narrating the story. Using this kernel, the reader learns that it is only those who drink from the river that are able to pursue the liberation struggle.

This comes to pass because, once in Sokomoko Imani and Amani get menial jobs where they work for two brothers – Nasaba Bora and Majisifu who are both oppressors. Continue reading