Baada ya tamthilia yake ya pili [MBAYA WETU] kuingia madukani, Prof. Ken Walibora ‘kaibua kitabu kinachoeleza safari ya maisha yake ilovyouwa na inavyozidi kuwa kila jua linapochomoza.
Uketo wa Lugha
“Nasikia Sauti ya Mama” ina uketo wa lugha ya kiswahili inayodhihirisha ukwasi al’onao profesa Ken na mno, weledi wake wa kuyaeleza mengi kwa njia ya kusisimua hivyo kumnata msomaji.
………
Heko kwa wanalonghorn Publishers kwa kujitoma katika hili la tawasifu: NASIKIA SAUTI YA MAMA (Ken Walibora) na “MBALI NA NYUMBANI (Adam Shafi) ni tuzo bora kwetu sote!
kazi nzuri kakla ken ulibarikiwa nayo endelea kutupa uhondo sie wanalugha
walibora ana uketo waa…tena lugha changamshi sana..heko kwa kazi kuntu unayofanya..
safi sana mwalimu Ken Walibora…
afwan napenda sana kazi yako kila yoyote ile ijitokezayo.
Napenda kazi aula ya fasihi ya prof. ken Walibora.
Kitu kizuri sana.Safi kabisa Ken.Unatufunza mengi sana
heko kwako mwalimu ken walibora…kazi yako ni ya kuoigia mfano.
naipenda kazi yako mwalimu hasa katika ulimbo wa fasihi na uwajibikaji wako katika kukuza vipaji
Shukrani kwa kukita mizizi katika kazi ya fasihi. Ni ombi langu Mola aendelee kukupa ujasiri na bidii katika kazi ya mikono yako ya kuelimisha jamii mbalimbali nchini kote na hata ulimwenguni. Ni mimi Nandwa Zablon mwanafunzi wako wa kiswahili chuo kikuu cha Kibabii. Hongera.
Ken wewe ni bingwa wa fasihi andishi ni huzuni kubwa kukupoteza lakini hutasahaulika kamwe pumzika pema peponi