Tamthilia ya ‘MBAYA WETU’ na Ken Walibora

Tamthilia ya 'MBAYA WETU' na Ken Walibora

Tamthilia ya ‘MBAYA WETU’ na Ken Walibora

“Kwa wale hawaja soma Mbaya Wetu, ni mwari mwenye sifa zake. Ni kazi inayotanguliza mkondo mwingine katika uandishi wa tamthilia ya Kiswahili. Kwa mara nyingine, mbinu ya mkono ya Ken Walibora imedhihirisha utamu na ukwasi uliomo katika Fasihi ya Kiswahili.”

Kenna Wasike

Continue reading

Jinsi ya Kuandika Riwaya/Hadithi

Jinsi ya Kuandika Riwaya/Hadithi

Jinsi ya Kuandika Riwaya/Hadithi

UANDISHI wa Riwaya ni fani ya usanii kama fani zingine za uandishi kama vile Uandishi wa Habari, Uandishi wa Vitabu vya Taaluma, Uandishi wa Majarida, Uandishi wa Sinema, nakadhalika.

Uandishi wa riwaya unazo taratibu na kanuni zake ambazo mwandishi anapozifuata ataweza kuandika hadithi za kuvutia, zenye mafunzo na hata kuweza kuzikamilisha katika muda mfupi pasi na kuathiri shughuli zake; kwamba, kuweza kwake huko si lazima awe amekwenda chuo cha uandishi, ila kuwa na elimu ni msaada zaidi katika kurahisisha mambo kwa tafsiri ya kukuweka katika upeo mpana wa uono. Hatahivyo, pamoja na kutokwenda chuo kwa mwandishi, bado anapaswa kujua kanuni za uandishi husika ili kuwa mwandishi bora. Continue reading