Mwavyaji wa Roho na hadithi Nyingine – Leonard Sanja

Mwavyaji wa Roho na hadithi Nyingine - Leonard Sanja

Mwavyaji wa Roho na hadithi Nyingine – Leonard Sanja

Mwavyaji wa Roho na hadithi Nyingine ni mkusanyiko unaoleta pamoja mawazo, hisia na fikra za waandishi mahiri kuhusu jamii. Ni juhudi za kuakisi ukweli wa hali halisi ilivyo na kumchorea msomaji taswira kamili kuhusu madhila ya uongozi, njaa, dawa za kulevya na mahusiano ya kijamii; kwa ujumla yaliyodorora. Wakati huo huo, wanamzindua juu ya mabadiliko; kuu likiwa kupatikana kwa katiba mpya.

Waandishi basi hawakuzungumzia madhila tu ila wanapendekeza jinsi suluhu ya baadhi ya matatizo inavyoweza kupatikana. Tashtiti, maswali ya balagha na tashbihi zilizoshamiri katika nyingi za hadithi hizi zinadhihirisha uchungu, kero, dhiki na kiu ya waandishi; msukumo wa kutaka kuhusika na kujihusisha na kupatikana kwa jamii bora. Wanaamini haya ndio matamanio ya wasomaji na jamii kwa jumla.

Continue reading

Tamthilia ya ‘AMEZIDI’ na Said A. Mohamed

Tamthilia ya 'AMEZIDI' na Said A. Mohamed

Tamthilia ya ‘AMEZIDI’ na Said A. Mohamed

Ame na Zidi wanajikuta katika umaskini mkubwa katika bahari iliyohaa mali. Katika hali hii ya uhitaji, wanatambua kuwa hawana jingine la kufanya ila kuomba msaada ili wayatosheleze mahitaji yao. Msaada unapokuja, unaleta unaleta madhara mengi zaidi.

Huu ni mchezo mawazoni unaotazama matatizo ya kijamii na ya kiuchumi katika nchi nyingi za kiafrika za hivi leo.

Mwandishi alizaliwa Unguja (Zanzibar) mwaka wa 1947. Alielimishwa huko huko Unguja na baadaye akajiunga na chuo kikuu cha Dar-es- Salaam, na kisha chuo kikuu cha Leipzig, Ujerumani. Amefundisha katika shule za upili na vyuo mbalimbali. Kabla ya ku7hamia Ujerumani, alikuwa Profesa katika Chuo kikuu cha masomo ya kigeni cha Osaka, Ujapani. Continue reading

Kenyans’ View(s) on Binyavanga Wainaina’s revelation that He’s “gay”

Binyavanga Wainaina

Binyavanga Wainaina

In an article published in The CHRONIC, a South African website, titled; I am a homosexual mum. Binyavanga Wainaina writes a letter to his mother, revealing his long kept secret,

“Nobody, nobody, ever in my life has heard this. Never mum.”

Continue reading

Get to Know all About Binyavanga Wainaina

Binyavanga Wainaina

Binyavanga Wainaina

Binyavanga Wainaina (born 18 January 1971) is a Kenyan author, journalist and winner of the Caine Prize for African Writing.

Binyavanga Wainaina was born in Nakuru in Rift Valley province. He attended Moi Primary School in Nakuru, Mangu High School in Thika, and Lenana School in Nairobi. He later studied commerce at the University of Transkei in South Africa.

His debut book, a memoir entitled One Day I Will Write About This Place, was published in 2011. Continue reading

Just Who is Wahome Mutahi “Whispers” – A Drink with a Conman

Wahome Mutahi

Wahome Mutahi

The father of satire and humour in Kenya was for years the most popular columnist in East Africa. Behind the mirth, however,  was one of the most vicious critics of government who penned award-winning novels like Jail Bugs and Three Days on the Cross.

A DRINK WITH A CONMAN

Over a week ago, a dear friend of ours, a man full of theatre in his blood, spoke and said: “I am taking a nap. It might be a long nap but anyway, I will dream about you.” That man took the nap and never woke up., and we from it. After that we had nothing else to do but to return him to the soil.

So last weekend we went to Siaya to return the Son of Siaya to the soil. The Son of Siaya and the Son of Kenya was Lenin Ogolla. and, As you read this, the man is probably having a long chat with Jaramogi Odinga or being shown around by Tom Mboya in the other world. He is most likely getting orientation on how things run in the other world from Tom Mboya. Lenin, may you give that other place as much theatre as you gave us down here on earth. Continue reading

“The Reunion” By Leonard Njenga Kibera

“The Reunion” By Leonard Njenga Kibera

 The Reunion is about Paul, a boy brought up by a single mother whose memory of her estranged husband is very bitter.

To confound the matter, Paul and his mother live in a slum where the author deftly uses the anagram Mururu for Mukuru slum.

Their house is neatly placed between an ageing acacia tree and a mould of earth. It was said to have housed a water pump for the city’s water supply decades ago but was abandoned.

The small 10X10 with two of the walls made of cardboard was their abode. The iron sheets were rotting and leaked in several places.

A tiny cardboard room at the back served as the bathroom and a latrine.

Here, Continue reading

Tamthilia ya “Amri ya Wakati” na Said Ahmed Mohamed

Amri ya Wakati na Said Ahmed Mohamed

Amri ya Wakati na Said Ahmed Mohamed

Matonga hakubaliani na familia yake, marafiki zake na jamii nzima kuhusu nafasi wanayopewa vijana katika nchi yake.
Kiu ya Matonga inamsukuma kuvunja kanuni za utu na desturi za kimila ili apate fursa ya kwenda nchi za ng’ambo anakodhani atapata riziki. Lakini, wakati tu ndio utakaoamua.

Picha:

Continue reading