Ngulamu Mwaviro ndiye Mshindi wa Tuzo ya Ubunifu 2016 kati ya Miswada 86

1f

Kumi na tano bora na wadhamini ya Tuzo ya Ubunifu

Tarehe 26/04/2017 ilikuwa siku ambayo mwanahabari  Ngulamu Mwaviro (Wa shirika la utangazaji la kitaifa-KBC) alitangazwa mshindi wa Tuzo ya Ubunifu ya 2016 katika hafla iliyofanyika katika ukumbi  wa Alliance Francais jijini Nairobi.   Novela yake ya “Mkamia Maji” iliibuka mswada bora kati ya themanini na sita (86) iliyokuwa imetumwa na waandishi chipukizi kutoka pembe zote nchini Kenya.

Akitoa hotuba yake fupi punde alipotangazwa mshindi, Mwaviro alisema kuwa hakutarajia hilo licha ya kuwa aliamini alikuwa ameufanyia kazi mswada huo ipasavyo. “Mswada huu ni jiwe lililokataliwa na mwashi . Kuna matbaa iliyokataa mswada huu na nikaona nijaribu bahati katika Tuzo ya Ubunifu,” aliongeza. Aidha, aliwamshukuru Mungu na kuwapongeza washiriki wote.” Kando na kutunukiwa shilingi milioni moja, mswada huo utachapishwa na Matbaa ya Sportlight na kisha uchapishwe ka Kifaransa. Continue reading

Haini na Adam Shafi

Haini na Adam Shafi

Haini na Adam Shafi

Hamza, kijana mwandishi wa habari, anakamatwa kwa kutuhumiwa kuwa haini, hasa kutokana na uhusiano wake wa karibu na Hamduni, ambaye amempiga risasi na kumwua Kigogo, kiongozi wa nchi.

Sehemu kubwa ya riwaya hii inasimuliwa gerezani ambako Hamza pamoja na wengine waliosombwa na kurundikwa huko, wanateswa, kuthakilishwa na kutendewa unyama wa kila namna.Haini ni riwaya inayochukua tukio la kihistoria la kuuawa kwa kiongozi mmoja wa Kiafrika mwaka 1972, na kulifanya kiini cha kuyachunguza matatizo ya kisiasa, kijamii na kiuchumi ya nchi za Kiafrika baada ya uhuru, chini ya mifumo ya utawala inayojali tu maslahi ya wachache. Continue reading

Kasri ya Mwinyi Faud na Adam Shafi Adam

Kasri ya Mwinyi Faud na Adam Shafi Adam

Kasri ya Mwinyi Faud na Adam Shafi Adam

Kasri ya Mwinyi Fuad ni mojawapo wa riwaya maarufu katika fasihi ya Kiswahili. Hii ni riwaya inayosawiri mvutano baina ya ubwana na umwinyi kwa upande mmoj a na unyonge na utwana kwa upande wa pili.
Continue reading

Mashetani Wamerudi – Said A. Mohamed

Mashetani Wamerudi – Said A. Mohamed

Uzinduzi wa tamthilia hii: Wasta 10-10, 2016

Mashetani Wamerudi Said A. Mohamed

Mashetani Wamerudi Said A. Mohamed

Profesa-Haft-Leo-Wala-Kesho ni mwenye kipaji cha kusema na kuwavuta watu – hasa vijana. Mhusika huyu anatumia kipaji chake kutetea na kupinga ‘mkwamo’ katika Dunia ya Tatu – ikiwemo Afrika. ‘Mkwamo’ huo, ulianza mwanzoni mwa ukolonikale na kushamiri katika ukolonimamboleo. Kwa ajili ya ‘mkwamo’ huo, Afrika imetupwa na kuachwa nyuma kwa kila kitu, hasa katika kunyonywa jana, leo na kesho.

Mashetani Wamerudi ni tamthilia inayoleta mivutano pande mbili: upande wa mashetani na vibaraka vyao, na upande wa vijana na wazee wanaochachamaa. Mwisho wa mvutano, Profesa Hafi-Leo-Wala-Kesho anakufa kifo cha ajabu na kuleta tanzia pamoja na tamaa ya kuamsha silaha ya ukombozi! Tamthilia hii ina mchovyo unaosimamia maana mbili: maana ya kijujujuu yenye lugha ya kificho, na maana ya pill yenye kuleta lugha ya ukinzani na vijembe ndani ya lugha ya mtindo wa usasa, inayoipa hadhira mitazamo mbalimbali kwa wasomaji. Katika mtindo huu, kung vuta nikuvute, mtindo unaoburudisha na kuhuzunisha, inayorambwa ndani ya ‘asali chungu’ na utamu wa mchezo wa sitiari, ishara, mafumbo, usambamba, kejeli na mgao unaofuata mapigo ya ushairi na uwazi wa nathari. Continue reading

Ng’ang’a Mbugua nominated for Wahome Mutahi Award, Again! — maisha yetu

Nganga Mbugua makes history by being nominated for a record fourth time in the Wahome Mutahi Literary Prize with his book Angels of the Wild, published by One Planet. The winner of this year’s edition of the Wahome Mutahi Prize, administered by the Kenya Publishers Association (KPA), will be awarded at the end of the […]

via Ng’ang’a Mbugua nominated for Wahome Mutahi Award, Again! — maisha yetu

Book Review: Things Fall Apart by Chinua Achebe

Book Review: Things Fall Apart by Chinua Achebe

The speaker in the novel is all knowing and employs omniscient narration in the description of the events unfolding in the novel. Nothing is hidden from the eye of the narrator, which enables him to explore the characters and events going on in the novel effectively.

African Literature Reviews

Things fall apart is a tragic novel by Nigerian author – Chinua Achebe. The book was first published in 1958. The motivation of the author to write the book might have arisen from the changes that were taking place in his society at the time. Things Fall Apart is set in Pre-colonial Nigeria and reflects the struggle between colonialism and cultural traditions. It is also part of a novel sequel, with the other novels by the author being: No Longer at Ease (1960), Arrow of God (1964), A man of the People (1966) and Anthills of the Savannah (1987).

Chinua Achebe speech speaking at Asbury Hall (Buffalo) during the “Babel: Season II” series by Just Buffalo Literary Center, Hallwalls, & the International Institute.[image sourse:Wikipedia]

The storyline of the novel follows the life of Okonkwo, who is the main character in the novel. The authors’ main aim in writing the novel is to…

View original post 637 more words

Book Review: A Journey Within, by Florence Mbaya

Book Review: A Journey Within, by Florence Mbaya

The author has employed third person narrative voice (omniscient narrator), which has enabled her to narrate and portray the various characters and events in her story with ease. Further, she has used jargon-free and easy to understand language making her narrative friendly to people of different academic levels.

African Literature Reviews

A journey within is a novel by Kenyan author Florence Mbaya. The storyline revolves around the career life of the leading character in the novel – Monika Saliku. At the beginning of the novel, Monika appears as a fresh graduate hopeful of acquiring a job within the city. On the contrary she lands a job in a remote part of the country. She leaves behind friends such as Stella (her former college mate and best friend) and family such as Miriam (her sister). Having to settle for a career she dislikes (teaching) turns out as the opportunity she needed to have the chance of self discovery.

As the title of the novel suggests, the novel focuses on Monikas’ journey of self discovery and insight. On arrival at Kostas Secondary school following her posting, she receives a cold welcome from most of the fellow teachers, among them Max, a male teacher…

View original post 457 more words