KISWANGLISH KIMETUHARIBIA LUGHA WATANZANIA- HATA KIINGEREZA HATUKIWEZI …

KISWANGLISH KIMETUHARIBIA LUGHA WATANZANIA- HATA KIINGEREZA HATUKIWEZI

kitoto


Inashangaza namna uzungumzaji wa Kiingereza kwa Watanzania unavyozidi kuwa ovyo.
Si tu nyumbani bali Ughaibuni. Popote pale unaposikia Mtanzania akihojiwa au akiongea hadharani Ughaibuni anavurunda lugha ya Kiingereza. Kwa sababu gani?
Kwa kuwa uzungumzaji wa Kiswahili umezidi kuchanganya sana maneno holela ya Kiingereza, sasa Mtanzania anapokabiliwa na lugha yenyewe fasaha ya Kiingereza anashindwa kuongea sawasawa. Ukimwambia apige Kiswahili fasaha pia anaparaganya. Eti…lazima neno la Kiingereza lipachikwe kila baada ya sentensi – sijui faida yake nini? Ili tuonekane tuna akili? Mbona wenzetu hawachanganyi Kiingereza na Kijapani au Kidachi, wakiongea? Kwanini humwoni Mwarabu akiburuta Kihindi au Kireno anapozungumza hadharani? Tusiwaendekeze Wakenya. Wenzetu huchapa Kiingereza fasaha. Mkenya anaweza kuwa si mzungumzaji mzuri wa Kiswahili- wao tena ndiyo walioanzisha hiki Kiswanglish (Walikiita Ki-Sheng au Shenge)- lakini Mkenya akinyang’anywa Kiswahili – Kimombo chake fasaha kabisa. Hata kama hajasoma zaidi ya darasa la Saba…!
Shaaban Robert Oyeee- F Macha
Wakongo hivyo hivyo. Atachanganya Kilingala, Kingwana na Kifaransa. Lakini ukimwondolea hicho Kilingala…

View original post 81 more words

Advertisements

One thought on “KISWANGLISH KIMETUHARIBIA LUGHA WATANZANIA- HATA KIINGEREZA HATUKIWEZI …

  1. Hole wenu wasio badili msimbo…kwa kuwa mna lugha sanifu………wakenya twapenda lugha rasimi

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s