Kasri ya Mwinyi Faud na Adam Shafi Adam

Kasri ya Mwinyi Faud na Adam Shafi Adam

Kasri ya Mwinyi Faud na Adam Shafi Adam

Kasri ya Mwinyi Fuad ni mojawapo wa riwaya maarufu katika fasihi ya Kiswahili. Hii ni riwaya inayosawiri mvutano baina ya ubwana na umwinyi kwa upande mmoj a na unyonge na utwana kwa upande wa pili.
Kasri ya Mwinyi Faud na Adam Shafi Adam

Ni riwaya inayotupa taswira za kuchokonoa akili kuhusu madhambi ya ubwana na umwinyi. Ni riwaya inayotoa picha ya vuta n’kuvute inayomkumba mwanarnke katika jamii. Riwaya hii imetafsiriwa katika lugha za Kijerumani, Kirusi na Kifaransa

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s