literatureafrica.wordpress.com
@DennisShonko LALA PEMA PROF. KEN WALIBORA: INGAWA UMEONDOKA, HUTAFUTIKA MOYONI MWANGU.
Mara ya mwisho kukutana nawe ilikuwa Jumamosi, Oktoba 14. 2017 ndani ya ukumbi wa Huduma ya Maktaba kwa Taifa eneo la Buruburu. Hapa tulipata nafasi nzuri ya kuyasema mengi. Hakika uliniambia mengi…