Tamthilia ya ‘AMEZIDI’ na Said A. Mohamed

Tamthilia ya 'AMEZIDI' na Said A. Mohamed

Tamthilia ya ‘AMEZIDI’ na Said A. Mohamed

Ame na Zidi wanajikuta katika umaskini mkubwa katika bahari iliyohaa mali. Katika hali hii ya uhitaji, wanatambua kuwa hawana jingine la kufanya ila kuomba msaada ili wayatosheleze mahitaji yao. Msaada unapokuja, unaleta unaleta madhara mengi zaidi.

Huu ni mchezo mawazoni unaotazama matatizo ya kijamii na ya kiuchumi katika nchi nyingi za kiafrika za hivi leo.

Mwandishi alizaliwa Unguja (Zanzibar) mwaka wa 1947. Alielimishwa huko huko Unguja na baadaye akajiunga na chuo kikuu cha Dar-es- Salaam, na kisha chuo kikuu cha Leipzig, Ujerumani. Amefundisha katika shule za upili na vyuo mbalimbali. Kabla ya ku7hamia Ujerumani, alikuwa Profesa katika Chuo kikuu cha masomo ya kigeni cha Osaka, Ujapani.

Amewahi kuandika vitabu vingine kama vile Utengano, Kina cha Maisha na Asali Chungu.

‘AMEZIDI’ by Said A. Mohamed

This is a short play written by Said Ahmed Mohamed. It is one of my favorite Swahili short plays I have ever read. In the play Ame and Zidi form the main characters and their behaviors are very similar.

The combination of the names Ame and Zidi to make Amezidi shows that these two characters share much in common. From the cover-page, we see two black heads within one white one. This depicts how African states are still in colonial period years after independence.

The author Said A. Mohamed  illustrates in the most creative way how disease, famine, corruption, laziness, and poor leadership are increasingly contributing to thwarting the poor African continent.


 

3 thoughts on “Tamthilia ya ‘AMEZIDI’ na Said A. Mohamed

  1. Ni real life story. It is a good book with important message to those who feel they are less important na wamegive up in life.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s