“Tunakualika rasmi kwa uzinduzi huu utakaongozwa na PLO. Lumumba na Ken Walibora. Zaidi, kutakuwa na mchezo wa kuigiza kuhusu kitabu.
@DennisShonko Uzinduzi wa Mbaya Wetu utakuwa Juni 3 saa kumi na moja kamili na kufuatiwa na maigizo saa kumi na mbili jioni
— Ken Walibora (@KenWalibora) May 13, 2014