Chozi la Heri na Assumpta K.Matei
Mungu wangu! Huyu si ndugu yangu Mwaliko?” alisema Umu kimyakimya. Dick naye alikuwa kaghumiwa, hajui ia kusema. Anamtazama mnuna wake kana kwamba ni Mr Super Man katika sinema za kijasiri. Wote wawili walitazamana, kila mmoja akiapa moyoni kuwa amewahi kumwona kiumbe huyu mahali, lakini hakuna aliyethubutu kunena.
Tamaa ya kumiliki nyenzo za kujiinua kiuchumi na kisiasa, kama inavyodhihirika katika riwaya hii, inasambaratisha asasi za kijamii, pamoja na miundomsingi ya mshikamano wa kijamii. Maazimio yasiyofikiwa yanazua hali ya kuvunjikiwa—kihoro hasa. Lakini baada ya kiza kizito huja mawio ya uzawa wa jamii mpya yenye matumaini.
I take great pleasure in reading articles with quality content. This article is one such writing that I can appreciate. Keep up the good work.
wonderful
where is summary for chozi la heri
wooow I like it
Chozi la heri download
its a nice book if you can make it easy also for online readers how they can download it,it would be of great help
Copyright!
Its awesome