Tamthilia ya Mtahiki Meya – Timothy M.Arege

SEHEMU I

Onyesho I.

Mstahiki Meya

Mstahiki Meya

Mchezo uanzapo, tunakutana na Waridi ambaye ni nesi na Siki ambaye ni daktari. Wote wawili wako kwenye zahanati ya Jiji. Daktari Siki anaonekana mwenye kusumbuliwa na jambo fulani; pengine matatizo ya ukosefu wa dawa zahanatini. Waridi aingiapo, wanaanza kuangazia swala la ukosefu wa dawa kwenye zahanati.

Waridi anamwambia Siki kwamba, shehena ya dawa iko bahari kuu na kwamba ingewasili baada ya siku tatu. Hii ni kwa mujibu wa Mstahiki Meya mweneyewe.

Zahanati ingepokea dawa hizo baada ya siku tatu zingine baada ya kuwasili nchini. Meya anasema wagonjwa wasubiri dawa, naye daktari anashangaa kana kwamba ugonjwa nao utasubiri.

Kutokana na mazungumzo ya Waridi na daktari Siki tunagundua kwamba, zaidi ya kukosekana kwa dawa, wagonjwa hawana pesa za kulipia huduma za matibabu. Hata hivyo, amri ni kwamba, lazima wagonjwa walipie huduma za afya kabla hazijatolewa kwao. Waridi anatetea hali hii kwa kusema kwamba nchi yao ni maskini.

Siki anapomuuliza mwenye kusema kwamba nchi ni maskini, Waridi anasema kwamba ameyasikia tu maneno hayo kutoka kwa wanasiasa, vyombo vya habari na wasomi. Siki haelekei kukubaliana naye na anashangaa kwamba ‘ameyasikia tu’. (Hii inadhihirishwa kwamba, vyombo vya habari, wanasias na wasomi wanawapotosha wananchi kwamba nchi yao ni maskini.) Pindi anaingia mama mwenye mtoto mgonjwa. Waridi anamkemea lakini Siki anampokea na kuanza kumhudumia. Continue reading

Riwaya ya Kidagaa Kimemwozea na Ken Walibora

Kidagaa Kimemwozea

Riwaya ya Kidagaa Kimemwozea na Ken Walibora

Riwaya ya Kidagaa Kimemwozea

”. . . kilikuwa kitabu chenye jalada jeusi iliyorembwa kwa picha ya mwanamwali mmoja mzuri aliyekuwa akidondoka machozi.. . riwaya hii ni ya aina yake,inathibitisha kwa usanii wa kupigiwa mfano jinsi ndoto ya uhuru barani Afrika imegeuka kuwa jinamizi.jinamizi inayowafanya wazalendo kulia, ‘kidagaa kimetuozea‘kwa kutamaushwa na usaliti wa viongozi wa baada ya uhuru. . . “

hapa twafahamu kuwa kidagaa kilichooza kiliwaozea wananchi wanyonge haswa,kwa kupitia wahusika kama vile AMANI,IMANI,UHURU WEYE DJ NK….

The Story

The story is told using a journey motif of two characters, Imani and Amani. The two leave their homes and set out for Sokomoko town to look for jobs so as to earn a decent living.

However, during their journey, they come across River Kiberenge whose water is avoided by the natives of that region like a plague because they associate it with death. Amani and Imani defy all the odds and decide to partake of the water.

River Kiberenge provides the author with another kernel to continue narrating the story. Using this kernel, the reader learns that it is only those who drink from the river that are able to pursue the liberation struggle.

This comes to pass because, once in Sokomoko Imani and Amani get menial jobs where they work for two brothers – Nasaba Bora and Majisifu who are both oppressors. Continue reading