Riwaya ya Utengano
“Mhanga Nafsi Yangu” Riwaya Mpya yake Said A. Mohamed
Licha ya Kustaafu kwake, Profesa Said Ahmed Mohamed anazidi kutupambia lugha hii yetu tukufu ya kiswahili – Tayari, ametupa Riwaya mpya “Mhanga Nafsi Yangu” ambayo kwa hakika, ina uketo wa lugha na maudhui ambayo kwa kweli yanadhihirisha hali halisi ya maisha ya binadamu. Uwapo na shilingi zako 406.00 za Kenya, utafuzu kujipa nakala yako.

Riwaya ya Mhanga Nafsi Yangu