Riwaya ya ASALI CHUNGU na Said Ahmed Mohamed

Riwaya ya ASALI CHUNGU na Said Ahmed Mohamed

Riwaya ya ASALI CHUNGU na Said Ahmed Mohamed

Riwaya ya ASALI CHUNGU – Hii ni safari ya kufunzwa na  maisha, kujifunza kwa kuonja ladha mbalimbali. Ni safari ya watu wengi wajitokezao katika matengo mawili. Kwanza akina Bwana Zuberi, D.c. na Bi Amina mkewe- wenye vyeo, utukufu na mali, na pili, akina Dude, Semeni, Shaabani Supu, Pili, Baya na Biti Daudi wanaonuka ufukara. Wote hawa wamo katika safari moja; Safari ya ugunduzi ambamo wanasoma mengi bila kujua, mpaka mwisho… Continue reading

Tamthilia ya PANGO na Kyalo W. Wamitila

Tamthilia ya PANGO na Kyalo W. Wamitila

Tamthilia ya PANGO na Kyalo W. Wamitila

Tamthilia hii ni mchango mwingine mwafaka katika medani ya fasihi hasa uga wa drama. Kwa mara nyingine tena, Wamitila amedhihirisha ukereketwa wake katika kuikuza na kuitilia mbolea fasihi ya Kiswahili hapa Afrika Mashariki.

Pango ni tamthilia inayotufunulia na kujadili utata wa kisiasa, uchumi , uongozi na migongano ya wimbi la ukale na la usasa. Ni kichokozi na kichocheo cha fikra kwa wahakiki na wanafunzi vyuoni na katika shule za sekondari. Mwandishi ni mwelendi wa lugha na kunga za fani ya tamthilia. Continue reading

Kenyans’ View(s) on Binyavanga Wainaina’s revelation that He’s “gay”

Binyavanga Wainaina

Binyavanga Wainaina

In an article published in The CHRONIC, a South African website, titled; I am a homosexual mum. Binyavanga Wainaina writes a letter to his mother, revealing his long kept secret,

“Nobody, nobody, ever in my life has heard this. Never mum.”

Continue reading

Ken Walibora’s Swahili Novel – KUFA KUZIKANA.

Ken Walibora's Swahili Novel -  KUFA KUZIKANA.

Ken Walibora’s Swahili Novel – KUFA KUZIKANA.

“A gripping Swahili novel, full of suspense. This novel is a satire of the evils of tribalism bedeviling Africa, especially so Rwanda. Ken Walibora writes with a Swahili language that is equally educative. Kitabu kizuri.”

kufa kuzikana

Ni hadithi ya urafiki kati ya vijana wawili, Akida na Tim, wanaotoka
kwenye makabila yenye uadui.

Ni hadithi ya migogoro, migongano, vikwazo na vizingiti katika uhusiano
wao.

Je, urafiki wao huo unaweza kuvistahimili vishindo hivyo?
Je, ni urafiki wa kinafiki au una nguvu ambazo havishindiki?

Inasimulia masuala nyeti kama vile ukabila na utamaduni, maadili na
mapenzi, usawa wa kijinsia na uhuru wa mtu binafsi, kwa uwazi na uchesi
wa kupigiwa mfano.

Sales price without tax: Ksh: 460.00
Tax amount: Ksh: 73.60
Sales price: Ksh: 533.60
Publishers: Longhorn Publishers
ISBN: 9966 49 754 4 Continue reading

The Man in Green Dungarees by Ng’ang’a Mbugua

The Man in Green Dungarees by Ng’ang’a Mbugua

The Man in Green Dungarees

John Benjamin said gruffly, grabbing the lifeline that the man had offered him. “I have a business idea that might interest you.” The man’s curiosity was at once aroused.
“You have three minutes,” he said authoritatively.

John Benjamin is a man on a fast lane to self-destruction. His life takes an about-turn when he befriends and takes home a stray dog. The Man in Green Dungarees is a story of resilience, alcoholism and how society defines success. John Benjamin sees opportunities for success where others would have looked away.

Read more…

Ken Walibora – Siku Njema

Ken Walibora - Siku Njema

Ken Walibora – Siku Njema

Is a popular (Swahili language|Swahili) novel written by the renowned Kenyan author, Ken Walibora. The novel was published in 1996 and saw Walibora become an instant household name in Swahili fiction. Written in the first person, the book deals with the life of a young man,  who is born in Tanga, Tanzania and who faces family hardships with his single mother, who is a talented singer of taarab. Being a child born out of wedlock does not make life easier for him as he is chided by his schoolmates in a culture that frowns upon illegitimate children.

Overview

In Tanzania, the story dwells mostly in the struggles of Kombo

Prof Walibora

Prof Walibora

after his mother, Zainabu Makame dies. He has to struggle with school and at the same time live through the maltreatments meted by his aunt and foster mother. His brilliance in writing however, baills him out and he becomes quite a successful student later nicknamed Kongowea Mswahili in reference to a prize-winning essay he had written.

Continue reading