Riwaya ya Heri Subira – Omar Babu ( Abu Marjan)

Riwaya ya Heri Subira

Riwaya ya Heri Subira

Riwaya ya Heri Subira ina uzuri wa kipekee ambao utaipa nafasi nzuri ya kushindana na `Siku Njema‘ ambayo inasifika kwa kiwango chake cha juu cha usanifu wa lugha, matumizi ya mbinu tele za usanii na mtiririko mwanana wa vitushi katika riwaya nzima.

Kimuhtasari, mwandishi anatusimulia mengi kuhusu maisha ya Sabra, bintiye Mzee Fauz na Mama Khadijah walioishi mtaa wa Tamakani.

Kiwango cha ubunifu, mbinu za usanii na lugha zilizotumika ni za hali ya juu na zimei fanya kazi yenyewe kuwa kivutio kikuu. Mso maji atakaye kuyaona matumizi mwafaka ya taharuki, majazi, tashbihi, uzungumzi nafsia, kejeli, kinaya, semi na kadhalika atayapata katika riwaya hii. Continue reading

Tamthilia ya Maua Kwenye Jua La Asubuhi – Kithaka wa Mberia

Tamthilia ya Maua Kwenye Jua La Asubuhi - Kithaka wa Mberia

Tamthilia ya Maua Kwenye Jua La Asubuhi – Kithaka wa Mberia

Maua Kwenye Jua la Asubuhi is a play that confronts the challenges of the so-called tribal clashes in an un-named African country fostered by petty ethnic politics. Two ethnic groups – the Watange, on one side and the Wandiku on the other are poised against each other. The Watange claim that the land upon which they live is their ancestral land and that the Wandiku just acquired land there recently thereby infringing on Watange’s property rights. Continue reading