Kopo la mwisho na hadithi nyingine ni mkusanyiko wa hadithi ambazo zimepigwa msasa tena kwa makini naye Omar Babu [Abu Marjan] ambaye ni mshairi na mwandishi wa riwaya na hadithi fupi.
Ni diwani inayoshughulikia maudhui tofautitofauti; Ukabila, siasa. Elimu, mapenzi n.k … “Ni hadithi zinazoandama mtindo sahili na zinazoashiria masuala yanayomkabili binadamu.”