Kisasi Hapana! 8a ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Nane katika shule za .msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma.
*Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: masimulizi rahisi kwa njia ya barua ya kirafiki, utambaji hadithi, hadithi ndani ya hadithi na usimulizi kwa nafsi ya kwanza umoja.
*kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, taharuki, tashbihi, takriri, kejeli, chuku, tanakali za sauti, maswali ya balagha, taswira na picha za rangi zenye kusisimua.