Nyuso za Mwanamke
Said A. Mohamed, 2010
Sasa Sema (Longhorn Publishers)
Msichana Nana
“Nana, msichana mrembo anajipata katikati ya jamii yenye mielekeo ya kumfinyanga mwanamke na kumyumbisha kama kayamba. Kila anayemwona Nana anamchukulia kuwa ni pambo la mji lenye nyuso nyingi au llisilokuwa na uso hata mmoja…”
“Anapotambua kuwa ana nyuso nyingi, Nana anajitazama kwa kioo kipya na kuanza safari mpya.”
swadakta waandishi wetu ata nipo njia naja…
send me a book
chambua sifa za wahusika wakuu katika riwaya ya nyuso za mwanamke
Hivi karibuni!