NILIPOKUNYWA CHAI NA MWANAHARAKATI WA KISWAHILI-ABDILATIF ABDALLA

“Leo ina tafauti, si sawa sawa na jana
Leo ndiyo ithibati, ya kuijuwa bayana
Ndiyo roho ya hayati, mfano wake haina
Leo itungeni sana.”

kitoto

Abdilatif Abdallah and Sauti ya Dhiki, London 2013-pic by F Macha
Angali kijana wa miaka 19, Abdilatif Abdalla alishiriki “harakati za kisirisiri” kupinga uongozi wa Rais Jomo Kenyatta, Kenya. Uongozi huo anaeleza leo, ulimnyima uhuru raia wa kawaida nchini humo (baada ya miaka mitatu tu ya utawala) uliopatikana Desemba 1963. Abdilatif alikuwa mwanachama wa chama cha upinzani, Kenya Peoples Union (KPU) kilichoongozwa na Jaramogi Oginga Odinga. Mchango wake mkuu ulikuwa kuandika. Alipofikisha makala ya saba iliyouliza “Kenya Twendapi?” alifungwa.

View original post 973 more words

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s