KOPO LA MWISHO NA HADITHI NYINGINE –OMAR BABU (Mhariri)

KOPO LA MWISHO NA HADITHI NYINGINE –OMAR BABU (Mhariri)

KOPO LA MWISHO NA HADITHI NYINGINE –OMAR BABU (Mhariri)

Kopo la mwisho na hadithi nyingine ni mkusanyiko wa hadithi ambazo zimepigwa msasa tena kwa makini naye Omar Babu [Abu Marjan] ambaye ni mshairi na mwandishi wa riwaya na hadithi fupi.

Ni diwani inayoshughulikia maudhui tofautitofauti; Ukabila, siasa. Elimu, mapenzi n.k  … “Ni hadithi zinazoandama mtindo sahili na zinazoashiria masuala yanayomkabili binadamu.”

Kopo la mwisho na hadithi nyingine

 Baadhi ya waandishi walochangia mkusanyiko huu ni: Omar Babu, Amir Swaleh, Mohamed S. Mohamed, Bitugi Matundura, Ken Walibora, Rebecca Nandwa miongoni mwa wengine.

Jipe nakala yak oleo!

East African Educational Publishers Ltd.

25 thoughts on “KOPO LA MWISHO NA HADITHI NYINGINE –OMAR BABU (Mhariri)

 1. Hi, i believe that i noticed you visited my web site so i got here to return the desire?.I’m attempting to to find issues to enhance my website!I
  guess its ok to make use of some of your concepts!!

 2. Please let me know if you’re looking for
  a writer for your blog. You have some really
  great posts and I feel I would be a good asset. If you ever want to take some of the load off, I’d really like to write some material for your
  blig in exchange for a link back to mine.
  Please send me an email if interested. Regards!

 3. Wow thwt was strange. I just wrote an extremely long comment but
  after I clicked submit my comment didn’t show up.

  Grrrr… well I’m not writing all tuat over again. Regardless, just wanted to say excellent blog!

 4. The movie, La Conga hd porn tube Sex, Party Sex, Party Sex, WetlookName of
  the table, amateur gloryhole gay and he bumped into, suddenly very difficult.

 5. After exploring a handful of the articles on your web site, I really appreciate your technique
  of writing a blog. I book marked it to my bookmark website list
  and will be checking back soon. Please visit my web site too and tell me your opinion.

 6. I like the valuable info you provide in your articles.
  I’ll bookmark your blog and check again here regularly.
  I am quite certain I will learn plenty of new stuff right here!

  Good luck for the next!

 7. Thanks for ones marvelous posting! I quite enjoyed reading it,
  you can be a great author. I will always bookmark your blog and will often come back in the future.
  I want to encourage one to continue your great writing,
  have a nice afternoon!

 8. Thank you for the auspicious writeup. It in fact was a amusement account it.
  Look advanced to far added agreeable from you! However, how could we communicate?

 9. Wһoa! This bⅼog looks exactly like my old one!
  It’s օn a еntirely different subjeсt Ƅut it has pretty mucһ the same
  layout and design. Superb choice of ϲolors!

 10. Maoni yangu kuhusu KOPO LA MWISHO NA HADITHI NYINGINE.
  Nimeisoma diani hii muda mrefu baada ya mhariri wake kutupa mkono. Laiti angekuwepo ningefanya juu chini kumsaili haya.
  Katika ukuaji wa fasihi, imezuka dhana ya kukiuka zile kaida zilizowekwa na wakongwe wa fasihi. Tunavyojua ni kuwa fasihi ni kioo cha jamii,. Lakini si jambo la mjadala kwamba unapolitazama sikio la kushoto kioono, utaligusa la kulia. Yapo mambo mengi ambayo yafaa yashughulikiwe kivingine ili yapate suluhu.
  Alivyobugia kopo la mwisho hadi akafa ndivyo mambo huwa katika jamii yetu ila dawa muafaka ingepatikana. Suluhu ingetolewa na mwandishi pasi na kumuua na kupoteza matumaini.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s