Yapo makamusi na kamusi ambazo hazikomi kuchapishwa kila uchao; Hili ni
jambo la kupendeza na la kufurahikia maana’ke, inaashiria kesho njema
yenye utajiri wa mengi katika lugha ya Kiswahili.
KAMUSI TEULE ya Kiswahili – Kilele cha Lugha
“Ni zao la utafiti wa kina uliofanywa na waandishi na wanaleksikogrofia
wenye tajriba kubwa.
Kamusi hii imetungwa kwa utaalamu mkuu na kwa kuzingatia msomaji
lengwa.”
Kamusi hii ina;
- Maneno ya jumla zaidi ya 320, 000
- Vidahizo na vibadala zaidi ya 35, 000
- Picha za kuvutia msomaji
- Etimolojia ya vidahizo
- Ngeli za maneno
- Wingi wa maneno
- vidahizo vya taaluma mbalimbali
- Istilahi za ushairi
- Istilahi za fasihi andishi
Nakadhalika.
Waandishi wa kamusi yenyewe ni – Ahmed E Ndalu, Hamisi Babausa,
Suleiman A Mirikau.
East African Publishers Ltd.
Imeidhinishwa na KICD
Kamusi hii inanifaa kweli! … Lugha inazidi kukua
Naweza nikaipata wapi?
Ni aali
Hakika!
This is really interesting, You’re a very skilled blogger.
I’ve joined your rss feed and look forward to seeking more
of your wonderful post. Also, I have shared your web site in my social networks!
Greetings from Colorado! I’m bored at work so I decided
to browse your site on my iphone during lunch break. I enjoy the
information you present here and can’t wait to take a look
when I get home. I’m amazed at how fast your blog loaded on my phone ..
I’m not even using WIFI, just 3G .. Anyways, good site!
NINAWEZA KUIPATAJE KAMUSI YA KISWAHILI SANIFU TOLEO LA MWAKA 2008