Riwaya ya ASALI CHUNGU na Said Ahmed Mohamed

Riwaya ya ASALI CHUNGU na Said Ahmed Mohamed

Riwaya ya ASALI CHUNGU na Said Ahmed Mohamed

Riwaya ya ASALI CHUNGU – Hii ni safari ya kufunzwa na  maisha, kujifunza kwa kuonja ladha mbalimbali. Ni safari ya watu wengi wajitokezao katika matengo mawili. Kwanza akina Bwana Zuberi, D.c. na Bi Amina mkewe- wenye vyeo, utukufu na mali, na pili, akina Dude, Semeni, Shaabani Supu, Pili, Baya na Biti Daudi wanaonuka ufukara. Wote hawa wamo katika safari moja; Safari ya ugunduzi ambamo wanasoma mengi bila kujua, mpaka mwisho…

ASALI CHUNGU

Uchu wa kuonja na kutamkiwa, kuitegemea pesa na kudhani yaweza kufanya kila kitu, raha na ulevi wake, taadi na inda, umaskini na ufukara, ukweli na uongo, utajiri wa kitu na utajiri wa moyo … Mara dunia mara dini … Hadi mwisho ambapo siri za wote zinafichuka na ambapo wananchi wanaponyanyua mikono yao na kusema,

“Ho! Basi tena!”, na kuthibitishwa kuwa Asali huweza kuwa Chungu.

Said Ahmed Mohamed ameandika riwaya kadha mbali na hii ambayo ni riwaya yake ya kwanza. Amewahi kuandika mikusanyiko ya mashairi, tamthilia, hadithi fupi na vitabu vya misemo ya kiswahili.

15 thoughts on “Riwaya ya ASALI CHUNGU na Said Ahmed Mohamed

 1. Hi would you mind stating which blog platform
  you’re using? I’m going to start my owwn blog soon but I’m having a difficult time choosing between BlogEngine/Wordpress/B2evolution and Drupal.
  The reason I ask is because yyour design seems different then most blogs and I’m looking for something completely unique.
  P.S Sorry for bbeing off-topic but I had to ask!

 2. I blogg often annd I genuinely appreciate your content.
  This greawt article has truly peaked my interest.
  I woll book mark your site and keep checking for new information about once a week.
  Isubscribed to your RSS feed as well.

 3. Thanks for your peersonal marvelous posting! I definitely enjoyed reading it, you are
  a great author. I will make certain to bookmark your blog and will eventually come back in the foreseeable future.
  I want to encourage you to ultimately continue your grfeat job, have a nice holiday weekend!

 4. I was excited to find this site. I want to to thank you for ones time for this fantastic
  read!! I definitely appreciated every little bit of it and i
  also have you book marked to check out new things in your website.

 5. Hi i came across this blog and got interested despite having the ability to speak kiswahili i find it difficult to be fluent so i decided to read swahili novels instead of english ones but i dont know of any site i can download swahili novels in ebook format.Ninatamani kusoma kitabu hiki.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s