Matonga hakubaliani na familia yake, marafiki zake na jamii nzima kuhusu nafasi wanayopewa vijana katika nchi yake.
Kiu ya Matonga inamsukuma kuvunja kanuni za utu na desturi za kimila ili apate fursa ya kwenda nchi za ng’ambo anakodhani atapata riziki. Lakini, wakati tu ndio utakaoamua.
Related articles
- Tamthilia ya Maua Kwenye Jua La Asubuhi – Kithaka wa Mberia (literatureafrica.wordpress.com)
- Ndoto ya America – The American Dream by Ken Walibora (literatureafrica.wordpress.com)
- Ken Walibora’s Swahili Novel – KUFA KUZIKANA. (literatureafrica.wordpress.com)