Riwaya ya Mkakasi – Geoffrey Mung’ou

Riwaya ya Mkakasi - Geoffrey Mung’ou

Riwaya ya Mkakasi – Geoffrey Mung’ou

Riwaya ya Mkakasi ni Riwaya inayozua hoja tofauti tofauti na kurejelea maudhui si haba k.v Migomo katika vyuo vikuu, virusi vya ukimwi, migogoro, elimu na kadhalika. 

Geoffrey Mung’ou

Riwaya hii yenye kurasa 210, imeandikwa na mwanahabari mtajika Bw. Geoffrey Mung’ou ambaye kwa hakika mchango wake katika lugha ya kiswahili ni wa kuigwa. Tangu akiwa mwalimu na hadi leo ambapo amefuzu kuwa miongoni wa waandishi bora wa fasihi wanaoibuka, amekuwa kielelzo chema kwa waandishi wengine wa habari ambao aghalabu huidunisha lugha ya kiswahili katika maongezi yao. Bila shaka, Riwaya ya Mkakasi ni zawadi bora kwa wote waipendao fasihi yetu!

“Mkakasi ni riwaya babukubwa inayoakisi masuala ibuka, yakiwamo yale yanayowahusu vijana, sikwambii uozo wa jamii” – Hamisi Omar Babusa

Bofya HAPA kwa mengi kumhusu Mwandishi huyu.

11 thoughts on “Riwaya ya Mkakasi – Geoffrey Mung’ou

  1. Pingback: URL

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s