Riwaya ya Heri Subira ina uzuri wa kipekee ambao utaipa nafasi nzuri ya kushindana na `Siku Njema‘ ambayo inasifika kwa kiwango chake cha juu cha usanifu wa lugha, matumizi ya mbinu tele za usanii na mtiririko mwanana wa vitushi katika riwaya nzima.
Kimuhtasari, mwandishi anatusimulia mengi kuhusu maisha ya Sabra, bintiye Mzee Fauz na Mama Khadijah walioishi mtaa wa Tamakani.
Kiwango cha ubunifu, mbinu za usanii na lugha zilizotumika ni za hali ya juu na zimei fanya kazi yenyewe kuwa kivutio kikuu. Mso maji atakaye kuyaona matumizi mwafaka ya taharuki, majazi, tashbihi, uzungumzi nafsia, kejeli, kinaya, semi na kadhalika atayapata katika riwaya hii.
Maudhui Katika Riwaya Ya ‘Heri Subira’
Maudhui na dhamira anayotufikishia mwandishi katika riwaya ni mwongozo muhimu katika maisha yetu.
Ni riwaya safi sana kwa wanafunzi wa fasihi katika kiwango cha KCSE na pia vyuoni.
Maoni kwa:hkimaro@ke.nationmedia.com
[Imenukuliwa kutoka kwa gazeti la Taifa Leo November 8, 2010]
Related articles
- Ken Walibora’s Swahili Novel – KUFA KUZIKANA. (literatureafrica.wordpress.com)
Aw, this was a very nice post. Taking the
time and actual effort to make a superb article… but what can I say… I put things
off a lot and never manage to get anything done.
Wow, fantastic blog layout! How long have you been blogging for?
you make blogging look easy. Thhe overall look of your site is wonderful,
as well as the content!