Ken Walibora’s Swahili Novel – KUFA KUZIKANA.

Ken Walibora's Swahili Novel -  KUFA KUZIKANA.

Ken Walibora’s Swahili Novel – KUFA KUZIKANA.

“A gripping Swahili novel, full of suspense. This novel is a satire of the evils of tribalism bedeviling Africa, especially so Rwanda. Ken Walibora writes with a Swahili language that is equally educative. Kitabu kizuri.”

kufa kuzikana

Ni hadithi ya urafiki kati ya vijana wawili, Akida na Tim, wanaotoka
kwenye makabila yenye uadui.

Ni hadithi ya migogoro, migongano, vikwazo na vizingiti katika uhusiano
wao.

Je, urafiki wao huo unaweza kuvistahimili vishindo hivyo?
Je, ni urafiki wa kinafiki au una nguvu ambazo havishindiki?

Inasimulia masuala nyeti kama vile ukabila na utamaduni, maadili na
mapenzi, usawa wa kijinsia na uhuru wa mtu binafsi, kwa uwazi na uchesi
wa kupigiwa mfano.

Sales price without tax: Ksh: 460.00
Tax amount: Ksh: 73.60
Sales price: Ksh: 533.60
Publishers: Longhorn Publishers
ISBN: 9966 49 754 4

Riwaya ya Kufa Kuzikana kwa hakika, ni Riwaya inayoakisi hali ilivyo katika nchi nyingi Duniani haswa Bara la Afrika.

Ukabila ni virusi ambavyo vimewamega wengi na kuwapokeza mengi yenye majuto, kite, shake na kwikwi lakini licha ya hayo, muhimu ni ule moyo wa kusamehe, kupendana na kusonga mbele pamoja ili angaa vituepuke.

Thuita Thuita Maina

Thuita Thuita Maina

17 thoughts on “Ken Walibora’s Swahili Novel – KUFA KUZIKANA.

    • Downloading that Novel of Rafiki kufa kuzikana what are rules. Naomba PDF ili niweze kuwa nayo naipenda sana

  1. Pingback: Riwaya ya Mkakasi – Geoffrey Mung’ou | | Fasihi | Literature in Africa |

  2. Pingback: Riwaya ya Heri Subira – Omar Babu ( Abu Marjan) | | Fasihi | Literature in Africa |

  3. Pingback: “Mhanga Nafsi Yangu” Riwaya Mpya yake Said A. Mohamed | | Fasihi | Literature in Africa |

  4. Pingback: Ndoto ya America – The American Dream by Ken Walibora | | Fasihi | Literature in Africa |

  5. Pingback: Tamthilia ya “Amri ya Wakati” na Said Ahmed Mohamed | | Fasihi | Literature in Africa |

  6. Pingback: URL

  7. Pingback: limited tort lawyer

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s