“Mhanga Nafsi Yangu” Riwaya Mpya yake Said A. Mohamed

Licha ya Kustaafu kwake, Profesa Said Ahmed Mohamed anazidi kutupambia lugha hii yetu tukufu ya kiswahili – Tayari, ametupa Riwaya mpya “Mhanga Nafsi Yangu” ambayo kwa hakika, ina uketo wa lugha na maudhui ambayo kwa kweli yanadhihirisha hali halisi ya maisha ya binadamu. Uwapo na shilingi zako 406.00 za Kenya, utafuzu kujipa nakala yako.

Said Ahmed Mohamed

Riwaya ya Mhanga Nafsi Yangu


ZAIDI… 

Profesa Said ni miongoni mwa magwiji wa kiswahili tunaoweza kujivunia kwa sisi watumiaji wa kiswahili. Changamoto iliyopo katika ueneaji wa kiswahili na matumizi yake hasa kwa Tanzania ambayo inaaminika kama mwasisi na eneo ambalo kiswahili kinazungumzwa zaidi, vyombo vinavyohusika kukieneza havifanyi la kutosha, ama wamechoka au hawajui nini cha kufanya.

6 thoughts on ““Mhanga Nafsi Yangu” Riwaya Mpya yake Said A. Mohamed

 1. You are so cool! I don’t think I’ve read something like this before.
  So wonderful to find somebody with a few original thoughts on this
  subject. Seriously.. thanks for starting this up.

  This web site is one thing that is required on the web, someone with some originality!

 2. Heko Prof.Said A.Mohamed kwa juhudi zako za kukikuza Kiswahili.Natumai sasa utatufikia kwa kazi nyingi na nzuri zaidi kwa kuwa umestaafu.Wewe ni mzazi halisi wa Lugha hii.Je,nakala za ‘Mhanga Nafsi Yangu’ nipate wapi hapa Kisii,Kenya.

 3. Huenda sielewi maana ya neno “Kustaafu”. Huenda linatumiwa makosa hasa kukuhusu wewe Mufti. Mie nakuona bado unatubunia kazi safi, yenye kufikirisha na la mno kuburudisha. Bongo lako halijastaafu, mawazo yako hayajastaafu, nafsi yako haijastaafu. BADO UPO! Heko kwa kazi nzuri.

 4. Twakupa pongezi kwa kazi yako mpya Prof. Said.
  Kitabu chako kina hadithi ya kusisimua na ukweli wa mambo halisi yanayokuta jamii zetu.Endelea vivyo hivyo.Ingawa umestaafu,bongo lako nalo halijastaafu,zidi kutupa nakala zingine murwa kama hii.Heko.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s