Riwaya ya Nyuso za Mwanamke – Prof. Said Ahmed Mohammed

Nyuso za Mwanamke

Nyuso za Mwanamke

“Nyuso..” imechukua muda mrefu sana kumshika msomaji kuliko vile visa vya mwanzo.Hadi ukurasa wa 44 ndipo kisa kinapoanza kujitokeza kwamba chamhusu mtu na mzazi wake. Mwandishi ana uhuru wa kuchagua mtindo wa kuelezea riwaya yake. Je kwanini ukachagua mtindo huu wa mafumbo mafumbo na kuchelewesha habari na maudhui? Je kadri mwandishi unavyoendelea kukomaa unashawishika kufanya majaribio ya ki fani? Na je, umepata “matokeo” au mrejesho nyuma gani kutoka kwa wasomaji wako kuhusiana na kisa hiki?

Mwandishi Said A Mohammed

Advertisements

9 thoughts on “Riwaya ya Nyuso za Mwanamke – Prof. Said Ahmed Mohammed

  1. Hi! I’ve been reading your web site for some time now and finally got tthe courage too go ahead and give you
    a shout out from Porter Texas! Just wanted to tell you keeep up the fantastic work!

  2. Kitabu hiki kinapendeza shida ni kwamba msomaji anapojaribu kuandika msuko Wa hadithi ni ngumu Sana

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s